Wanawake Sasa – Ziara kwa Vyama vya Siasa Katika kuadhimisha Mwezi wa Wanawake Duniani, WiLDAF kwa kushirikiana na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa tunaendelea kuhakikisha mazingira rafiki kwa ushiriki wa wanawake katika siasa. Tumeshatembelea vyama mbalimbali kukusanya maoni…
International Women’s Day – 8th March 2025 Heri ya mwezi wa wanawake duniani,Mwezi machi ni mwezi ambao tunasherehekea jitihada za wanawake na Kutathmini harakati za kumkomboa mwanamke.Tunashirikiana na Serikali na wadau wengine katika Maadhimisho haya yenye kelele chake tarehe 8/3/2025…