WiLDAF Tanzania, kupitia mradi wa Achieving Zero FGM in Mara – Jamii Imara, inaendelea kuchukua hatua madhubuti kuhakikisha ukeketaji (FGM) unatokomezwa kabisa katika Mkoa wa Mara. Mradi huu wa miezi 18, unaofadhiliwa na Serikali ya Marekani, unatekelezwa katika wilaya za…