Je unakumbana na ukatili huu wa kijinsia?

Manyanyaso

Matusi

Vipigo

Ubakaji

Ulawiti

Kutelekezwa

Kunyimwa matumizi ya watoto

Kudhulumiwa mali

Kwa Msaada wa Sheria Bure Piga Namba

   0685559954  |   0733387935