Tengeneza post yenye picha yako iliyoambatana na ujumbe wa Siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia kwa kufuata hatua zifuatazo:
** Bofya link 👇🏿
https://www.twibbonize.com/siku16
* Bofya sehemu iliyoandikwa *choose a photo kuchagua picha uipendayo.
* Bofya *Next kisha Download na isambaze kupitia status au mitandao yoyote ya kijamii.
Tumia hashtag #ZuiaUkatiliWaKijinsia
WEKEZA Kuzuia Ukatili wa Kijinsia.