International Women's Day - 8th March 2025

Heri ya mwezi wa wanawake duniani,
Mwezi machi ni mwezi ambao tunasherehekea jitihada za wanawake na Kutathmini harakati za kumkomboa mwanamke.
Tunashirikiana na Serikali na wadau wengine katika Maadhimisho haya yenye kelele chake tarehe 8/3/2025 Arusha.

Kauli Mbiu ya mwaka huu ni: ‘Wanawake na Wasichana 2025: Tuimarishe Haki, Usawa na Uwezeshaji.