Inatoa njia rahisi na ya siri ya kuwasilisha malalamiko ya ukatili wa kijinsia au wa aina nyinginezo. Unaweza kutoa taarifa kupitia ujumbe au kurekodi sauti.
Inajumuisha maktaba ya maarifa inayomsaidia mtumiaji kuelewa haki zake za kisheria na taratibu za kufuata pindi anapokumbana na changamoto mbalimbali.
Sehemu inayotoa mwongozo na hamasa kwa ajili ya malezi bora ya watoto na ujenzi wa jamii iliyo salama.