skip to Main Content

Tuzo za vinara

Tuzo za vinara katika kupambana dhidi ya Ukatili wa Kijinsia (GBV)

Kwa kutambua na kupongeza juhudi za watu binafsi na mashirika ambayo yamechukua hatua kubwa na za kipekee katika kukomesha vitendo vya ukatili wa kijinsia katika jamii zao na Tanzania kwa ujumla, Shirika la Wanawake katika Sheria na Maendeleo Barani Afrika (WiLDAF) kwa kushirikiana na Mtandao wa Kupambana na Ukatili wa Kijinsia (MKUKI), LSF, UNFPA pamoja na Umoja wa Ulaya (EU) wametoa tuzo kwa vinara 16.
Tuzo hizi zimetolewa Desemba 8, 2021 ikiwa ni sehemu ya Kampeni ya Siku 16 za Kupinga Ukatili wa Kijinsia. Tuzo hizo zimetolewa kwa watu wafuatao;

Angela Edwinio Kilasi
Janeth John Kiko
Joyce Kiango (Kushoto)
Msafiri Mchenya (Kushoto)
Prisca Ngwesheni (Kushoto)
Rachel Zengo
Sheikh Mohamed Kadidi (Kushoto)
Pili Hassan Maguzo (Kushoto)
Angela Benedicto
Askofu Isaac Kissiri (Kushoto)
Benjamin Mzinga
David Msemwa
Eliwilimina Buberwa
Dk Flora Lauo
Veronica Lymo
Janeth Mwasawala (Kushoto)

This Post Has 0 Comments

Leave a Reply

Back To Top